Feedback Sitemap Send page Print Help
ScoolNet Africa

AEKW ni kiungo cha elimu kwa Afrika yote ambacho huudumia wizara za elimu na jamii za mashuleni katika bara la Afrika. Kiungo hiki cha mtandao ni kituo cha kuhifathi vyanzo vya elimu ambavyo ni sahihi katika tofauti za  elimu katika jamii za kiafrika kuanzia ngazi ya kawaida. Pia inatumika kama sehemu ya mtandao ambapo vyanzo vya elimu vimekusanywa na kuwekwa kwa wingi pamoja na huduma za namna ya kutumia kwa wanafunzi, wakufunzi, wataalam wa SchoolNets katika kupata habari, kuanzisha maombi na kutambua washiriki.