Feedback Sitemap Send page Print Help
Intellectual Property

Mali ya kisomi Ni kitu kisichojulikana ambacho huwezi hatta kkukikamata na kukitia mikononi mwako – kama nawazo ama uvumbuzi ambao unaweza kuumiliki, sio kitu kinacho onekana kama gari au ardhi.  Inakuwa ni kitu ambacho amekiandika, kukichora, kusanifu, kukivumbua au kukisoma au inawezekana ni kitu ulicho kitengeneza wewe mwenyewe na kukigharamia au kukilipia kutoka kwa mtu. &nbsp Kama mali isiyo julikana, unaweza kununua na kuuza au kuibadilisha  mali ya kisomi, unaweza kuidhibiti pia hata matumizi yake kwa  wengine watakao itumia,   Ingawaje  mali kama hii isiyoshikika au kuonekana inawezekana ikapata daraja la hadhi ya kisomi na kuipatia miliki ikiwa ni mali ya kipekee.      

 

Nadharia hii ya kisomi juu ya  mali inamadhumuni ya kulinda uvumbuzi na kuwawezesha watu kutengeneza pesa kwa kuuza mawazo yao.  ’ kwa kawaida kujieleza kwa “mali za kisomi” unatumika kisheria kama usanii katika mafungu manne yaliyo wazi ndani ya sheria ya mali isiyo onekana au kushikika ilikuhifadhika kisheria. & nbsp; hati miliki, nembo za kibiashara, siri za kibiashara. sheria za IP na hifadhi zake – kama katika maeneo ya kulinda na mahitaji yake katika kupata uhifadhi kisheria—yanaelezwa na vipi sheria zinavyo tawala katika kutoa haki na setikali zinavyo simama na kudhibiti katika haya. Lakini maelezo ya kina katika IP sheria zake zinaweza kutofautiana lakini madhumuni halisi yanabaki yalivyo wala hayatofautiani sana. Kwa kawaida mmiliki wa IP anawajibika kutoa uvumbuzi wake kwa madhumuni ya kuweza kumlinda hi haki za IP.

 

Taasisi za kimataifa ambazo ni wasimamizi wa

 

Kuna sheria chungunzima za kimataifa na mikataba ambayo yote inalenga kuweka hali sawa na kuondoa mvurugano katika shera zinazotawala IP katika nchi nyingi.   sheria muhimu na mikataba zimejumlishwa chini ya mwamvuli wa shirika la biashara duniani  (WTO) Makubaliano katika sura inayohusiana kibiashara ya haki za mali za kisomi (TRIPS) ambazo zimefafanuliwa katika viwango vyake kwa kinga ya IP kati ya nchi wanachama wa WTO.   Wanachama wanaweza kutumia utaalamu kushurutisha ulinzi wa IP unaotolewa na hii mikataba. Jumuiya ya wasomi duniani inayohusiana na maswala ya haki ya mali za kiusomi (WIPO) inaratibu na kusimamia utendaji wake wa kisheria dunia nzima , yote kwa ujumla.   pia inaendesha mkataba mingine ya kimataifa juu ya  IP ikiwemo WIPO mikataba ya haki miliki kiutendaji na  mikataba ya picha ambayo inahitaji juhudi za pamoja za nchi kuziadhibu au kukwaadhibu wanao kiuka, kuiba technologia kwa nia ya hodhi mali hizo za kihati miliki au kazi za haki miliki.

 

aina  za kinga za mali za kisomi

 

haki miliki

 

Haki miliki ni kinga ya mali ya kisomi ambayo inahusiana na uvumbuzi au mipango ya uvumbuzi, ambayo inawapa wabunifu haki madhubuti kutenda, kutumia na kuuza ubunifu kwa kipindi cha muda Fulani.  Kwa kawaida uvumbuzi unaweza kujumlisha bidhaa au njia za kutengenedha bidhaa. kwa kawaida, ubunifu lazima uwe mpya kabisa, wenye manufaa,  na usio na mashaka ili kuweza kufaulu  kwa kinga  za IP.

 

Kwa kawaida haki miliki ina jumuisha vitu kama vifaa na mchanganyiko wa madawa. Baadhi ya nchi zinatoa  haki miliki kwa urembo wa viwandani na aina tofauti za miti mipya.

 

Kama sehemu ya matumizi, mgunduzi ni lazima aweke wazi kwa maelezo ya ugunduzi wake kwa umma. Baada ya muda wa  haki pekee kumalizika, hapo ndipo mtu mwingine yeyote anaweza kuutumia ugunduzi huo au ubunifu huo vyovyote watakavyo. Madhumuni hasa  ya haki miliki ni kwamba wakati wa haki ya umilikaji

 

Kama sehemu ya matumizi, mgunduzi ni lazima awe wazi kwa maelezo ya ugunduzi wake kwa umma.   Baada ya kipindi cha haki ya kipekee kuisha, hapo ndipo mtu mwingine yeyote anaweza kutumia ugunduzi huo au ubunifu huo vyovyote watakavyo.  Madhumuni ya haki miliki ni kwamba wakati wa haki ya kipekee kitasaidia kuleta marekebisho ya kiufundi kwa sababu wa wagunduzi (au wanaofadhili ugunduzi huo) watapata muda wa kurudisha gharama zao za utafiti na vielelezo vyake. Muda huo huo, haki miliki zinawajibika kusaidia mvuto wa jamii kwa kuhimiza watafiti kushirikiana habari na kuzuia jitihada za kunakili.   nchi zinazo saini ni lazima zichukue sheria kikamilifu za kulinda haki miliki ifikapo tarehe 1, January, 2020.

Nembo za kibiashara.

nembo ya biasha ni ulama tambufu inayotambulisha bidhaa au huduma.   kwa kawaida ni alama ya kipekee --kama neno, nembo, rangi, mchanganyiko wa rangi, au mafuatano ya sauti – inayodhamiriwa kufanya au kuleta tofauti na kufanya zao au huduma za kampuni kuwa tofauti na kampuni shindani.   Madhumuni ni kuwa mteja au mtumiaji atahusisha uzuri wa huduma au mazao ya kampuni hiyo husika na alama yake ya kibiashara, hasa katika ubora wa bidhaa Fulani au huduma.

Alama za biashara zinalindwa kama mali za kisomi ili kuruhusu makampuni kujijengea tabia nzuri na ubora wa mazao yake au huduma ambayo inawezekana kuhusisha kuitambua alama.   Huruhusiwi kutumia alama ya kibiashara kwa bidhaa zako na huduma ambazo ni sawa na au zinazofanana na alama za kibiashara zinazolindwa kama zinaweza kusababisha mkanganyiko kwa wateja au watumiaji.

Kwa mfano, mkanganyiko unaweza kusababishwa na alama sawasawa ya kibiashara ambayo itatumika kutambua bidhaa sawasawa na huduma, au kutambua bidhaa tofauti au huduma iliyouzwa katika soko moja.   Wakati unapo chagua alama ya kibiashara, unaowajibu wa kuepuka  kuigiza alama za wengine za kibiashara, na labda kutakiwa kufanya uchunguzi kuhakikisha kwamba hakuna mwingine anaye tumia hiyo ya kibiashara.   Ili kulinda alama yako ya kibiashara, usajili kwenye mamlaka ya kitaifa wakati mwingine,  na sio kwakati wote, unaitajika.

Baadhi ya nchi zinazotoa ulinzi kwa mtu wa kwanza kutumia alama ya kibiashara kwa nia ya kibiashara, lakini nchi nyingine zinatoa haki kwa mtu wa kwanza kusajili alama ile ya kibiashara.

Hata kama haitajiki,  unashauriwa kusajili alama yako ya biashara kuhakikisha kwamba unawazuia  wengine kuitumia.

Kwa mfano,  kama  alama yako ya biashara imesajiliwa,  itawawia watu wengine urahisi kuipata wakati wana itafua.   Lakini pindi ukiisajili nembo yako ya kibiashara lazima uitumie lasihivyo itaesabika imetelekezwa.   Kama alama yako biashara “inajulikana vizuri”  basi siolazima uisajili.  Kwa mfano, Nchi wanachama wa WTO lazima watoe kinga kwa alama maarufu (kama vile MacDonalds golden arches) .  Alama za kibiashara ni pan asana, ilimradi tu mahitaji yanafikiwa.      

Haki miliki

Haki miliki ni kinga ya mali ya kisomi inayotelewa kwa fasihi, nyimbo na kazi za kisanii, jumuisha michoro, mashairi, sinema,  mahandishi ya riwaya na nyenzo ya matumizi ya kompyuta. Inahusika kwenye uhalisi, kazi za kibunifu zinazoambatana na mali za wastani zinazogusika ambazo ni za kudumu au imara. mvumbuzi haki ya kipekee ya kuidurufu, chapisha, tumbuiza, au kuitangaza kazi hiyo. Lakini hai zuii ubunifu huru unaofanana na wa wengine. Vile vile haizuii “matumizi ya haki”  ya kazi, kama vile kutoa taarifa za  habari, kufundisha, au utafiti. Haki miliki inakuwepo moja kwa moja pindi kazi inapokuwa imesha buniwa, na haiitaji kusajiliwa. kwa kawaida ina dumu kulingana na maisha ya mgunduzi na miaka 50 zaidi mbele. Kama uvumbuzi umefanywa vyema, basi muajiri huodhi haki za haki miliki juu ya kzi hiyo.

Chini ya mkataba wa TRIPS, makampuni yaliyoungana yanaweza kuwa na haki miliki kwa muda wa miaka 50 toka walipojitangaza. Hatakama,wakati kazi inafanywa kwa kukodiwa, haki miliki inaweza kuchukua muda zaidi.   Kwa mfano, katika nchi ya marekani kazi kama hiyo inaweza kupatiwa hakimiliki ya miaka 120 kutoka muda ilipo gunduliwa au miaka 95 kutoka mwaka ilipoa tangazwa, ama hali yeyote fupi.   Ingawaje usajili wa hati miliki kwa kawaida sio lazima ili kupata kinga ya haki miliki, unapatikana katika nchi karibu zote; katika baadhi ya nchi usajili unachukuliwa  kama idhini ya kumili haki miliki.   Mmiliki wa haki miliki anatakiwa kujumuisha  alama.   Kwa kazi zingine maelezo ya haki miliki zinatakiwa kujumuisha alama ya au neno “haki miliki”, mwaka ilipotangazwa kwa mara ya kwanza, na jina la mmiliki wa haki miliki. Kwa mfano, “copyright 2020 bridge.org”.  

Siri za kibiashara

Siri za kibiashara ni habari nyeti za biashara ambazo zinampa nafuu ya ushindani kama, mbinu, njia za utengenezaji, mbinu au utaratibu.   Siri za biashara zinalindwa kama mali za kisomi ambapo zina thamani kwa mmiliki na hatua zinachukuliwa kuhifadhi maelezo kuwa siri.   Hazitalindwa kama mtu mwingine binafsi ameshajipatia habari.

Imetoholewa kutoka: http://www.apc.org