Feedback Sitemap Send page Print Help
Kitovu cha SchoolNet

SchoolNet Africa imejitolea kuwapatia wataalam wa SchoolNet Africa habari zenye thamani zaidi na vyanzo mbalimbali vitakavyo saidia katika matumizi ya ICTs kwenye elimu katika ngazi ya kitaifa. Tumeandaa kitovu cha SchoolNet ili kutoa habari na vyanzo kwa wataalam wa SchoolNet Africa ili kuboresha utekelezaji katika jitihada hizi. Kitovu cha SchoolNet kinakusanya na kuweka habari zinazohusiana na SchoolNet za kitaifa katika Afrika na kidunia na kinatoa nafasi ya mtandao na ushirikiano kati ya wataalam wa SchoolNet.

 

Kwa kufanya kazi pamoja  tunaweza kuimarisha nguvu zetu, kutumia maarifa na ujuzi uliopo mbele yetu kusherehekea ushindi wetu. Kwa habari zaidi, tuandikie kupitia: [email protected]

Nyenzo

Kujitolea

Nyenzo

Mahitaji muhimu kwenye elimu

Ripoti