Feedback Sitemap Send page Print Help
Kitovu cha SchoolNet

SchoolNet Africa imejitolea kuwapatia wataalam wa SchoolNet Africa habari zenye thamani zaidi na vyanzo mbalimbali vitakavyosaidia matumizi ya habari na mawasiliano ya kiteknolojia (ICTs) kwenye elimu katika  ngazi za kitaifa.

"Tumeandaa kitovu cha SchoolNet ili kutoa habari na vyanzo kwa wataalam wa SchoolNet Africa ili kuboresha utekelezaji wa jitihada hii. Kitovu cha SchoolNet kinakusanya na kuweka habari kuhusu SchoolNet za kitaifa katika bara la Afrika na dunia kwa ujumla na kinatoa nafasi ya mtandao na ushirikiano kati ya wataalam wa SchoolNet mbalimbali".

Kwa kufanya kazi pamoja,  tutaweza kuimarisha nguvu zetu, kutumia maarifa na ujuzi uliopo mbele yetu kusherehekea ushindi wetu.

Kwa habari zaidi, tuandikie barua pepe kupitia: [email protected]

Kuunda Mabingwa wa SchoolNet

Kusaidia SchoolNet

Mtandao wa waalimu Afrika

ThinkQuest Africa

Kutoka katika matumizi ya silaha kwenda kwenye kompyuta

Mradi wa Vijana Duniani