Feedback Sitemap Send page Print Help
Kujitolea

SchoolNet Africa ilijitokeza baada ya kukua kwa ushirika wa SchoolNets barani Afrika. Toka kuanzishwa kwake, SchoolNet Africa imeunda mtandao na wataalamu wanaofanya kazi katika nchi zisizopungua 30 barani  Afrika zikiwa na nia ya kuinua mafunzo kupitia habari na mawasiliano ya kiteknolojia (ICTs) katika shule  za kawaida. Hadithi ya SchoolNet katika Afrika ni simulizi ya utoleaji unaojaribu kutumia habari mpya na teknolojia katika mawasiliano (ICTs) kwenye mazingira duni kama njia ya kuleta maendeleo kwa jumla na upatikanaji wa elimu na ubora wake, na kama sehemu ya mada kwa kuunganisha mgawanyiko uliosifiwa sana.

Mtandao wa shule  ilijitokeza nchini Canada na katika bara la Ulaya ambapo uundwaji wa kwanza wa schoolnet ulifanyika miaka ya themanini (80's) na mwanzoni mwa miaka ya 90. Kwenye kiini cha hatua za schoolnet kuna mabadiliko ya kimapinduzi katika njia za mafunzo na ufundishaji zinazotokea. Wakati baadhi ya schoolnet kama vile "westen Cape school network, shughuli zake zilianza muda mrefu toka mwaka 2020. Schooolnet nyingi ziliota mizizi na kutambaa katika sehemu mbali mbali barani Afrika baadaye katika miaka ya 90 pia,  na ilikuwa ni hatua ya muhimu iliyoanza kwa utambulishaji wa ICTs katika jamii.

Neno "SchoolNet" ni kufungu cha maneno kwa asasi za vikundi vyote vinavyohusika moja kwa moja na vinavyo husika kwa kiasi kidogo katika kukuza elimu kupitia matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICTs) katika shule za Afrika. Schoolnet nyingi zilizo anzishwa Afrika mpaka sasa zinajiendesha katika hatua za kitaifa. SchoolNet hizi  zilitumia miundo ya asasi mbali mbali na katika bara la Afrika,  zinachukua nafasi ya mawakala wa mabadiliko katika elimu kuendeleza katika upatikanaji na ubora wa elimu kupitia matumizi ya ICTs. Wakati nyingi ziko ndani ya wizara za elimu, hivyo kuakisi mwanzo wa mabadiliko katika mfumo wa elimu katika ngazi za kitaifa.

National SchoolNets

Global SchoolNets

Mipango ya Afrika nzima