Feedback Sitemap Send page Print Help
Nyenzo

Nyenzo hizi zinalenga katika mashirika yanayo fanya kazi kuelekea kwenye mitandao ya shule na kuinua matumizai ya ICT katika elimu Afrika. Inatumika pia kama nyenzo ya kusaidia kwenye mtandao wa kompyuta na watumiaji ambao wanahusishwa moja kwa moja katika kusaidia matumizi ya ICT katika elimu ndani ya bara la Afrika. Namna ya kuanzisha mtandao shule: Vyanzo hivi vinalenga watu wanaoendeleza na kuunda mitandao ya wanafunzi na itatumika kwenye njia ya kuanzishaji mitandao ya shule ndani ya Afrika.

SchoolNet inamaanisha nini