Feedback Sitemap Send page Print Help
Wabia

Kamati ya umoja wa mataifa ya uchumi ya Afrika 

Maelezo: Kamati ya umoja wa mataifa ya uchumi kwa Afrika (UNECA) imeinua dhana ya mtandao wa kujifunza kama sehemu kuu ya kuinua habari katika bara la Afrika. SchooNet Afrika ndio wasimamizi wa miundo mbinu 

 

Mpango wa elimu wa jumuiya ya madola (COL) 

Maelezo: Mpango wa elimu wa jumuiya ya madola (COL) unatumia maarifa kama ufunguo katika  maendeleo ya kiutamaduni, kijamii na kiuchumi, Mpango wa elimu wa jumuiya ya madola ( COL) umejitolea kusaidia nchi wanachama wa jumuiya ya madola ili kuweza kupata faida kuu katika elimu wazi, elimu ya mbali na miundo mbinu ya kuunganisha teknolojia ili kuweza kutoa ongezeko sawa kwenye elimu na mafunzo kwa raia wote.

NinthBridge 

Maelezo: Ninth Bridge ni asasi ya kimataifa inayotoa huduma za kiteknolojia kwa asasi za kitaifa na kimataifa katika bara la Afrika, Asia, Amerika ya kusini na Amerika ya kaskazini. Ninth Bridge na SchoolNet Africa watakuwa wakishirikiana katika nyanja mbali mbali zikiwa ni pamoja na  kujumuisha  na kuendeleza  ScholNet Africa  E- riders, kujaribu teknolojia sahihi kwa mazingira ya kiafrika n.k.

Taasisi ya jamii huru kusini mwa Afrika (OSISA) 

Maelezo: Taasisi ya jamii huru kusini mwa Afrika (OSISA) imejitolea kusaidia kwenye hatua ya uanzilishi wa  SchoolNet Africa na kutegemeana  na ufanisi wake itaendelea kusaidia SchoolNet Africa kwa miaka mingine mitatu hadi mitano

ThinkQuest International 

Maelezo: ThinkQuest Inc, ni shirika la kujitolea lenye wajibu wa kuboresha matumizi sahihi ya ICT katika  elimu. Limeunda na sasa inaunganisha, kusimamia na hata kuendesha mpango wa elimu ya kiteknolojia kwa walimu na wanafunzi inyoitwa "ThinkQuest " ambayo kanuni zake zinapatikana kwanye mtandao wa mawasiliano wa kimataifa wa kompyuta