Feedback Sitemap Send page Print Help
Global SchoolNets
Nyenzo

Global SchoolNet
Global SchoolNet inajumuisha mawazo bora ya ufundishaji na uchapishaji kwenye mtandao, mikutano kwa kutumia luninga na nyenzo nyingine za kimtandao zinazoziba pengo la kijiografia, kuwaruhusu vijana duniani kote kujifunza kwa pamoja. [458]
http://www.globalschoolnet.org

SchoolNet Multimedia Learn Ware & Public Access
Mpango wa SchoolNet Multimedia Learn Ware & Public access unasimamiwa na SchoolNet Canada ambao unaimarisha njia mpya za ujifunzaji kupitia vyombo vya habari Canada na matumizi ya mtandao wa Internet huku ikiboresha upatikanaji wa nafasi za kujifunza. [457]
http://www.schoolnet.ca

Australian SchoolNet
EdNA ni mtandao unaotoa huduma ya kuinua na kusaidia faida za mtandao wa internet kwenye kujifunza, elimu na mafunzo katika Australia. Imeandaliwa katika mtaala wa kiaustralia, nyenzo zake ni huru kwa wakufunzi wa Australia na inafadhiliwa na bodi zinazohusika na utoaji wa elimu Australia-serikali yote ya Australia. [456]
http://www.edna.edu.au/networker/

Windows on the world
Window on the world ni chanzo huru, rahisi kutumia kwa mashule na vyuo vinavyotaka ushirikiano wa kimataifa. Walimu wanaweza kuangalia kwenye bohari la habari (Database) kuhusu habari za mashule kwa maelfu duniani kote na wanaweza kuandikisha shule yao na habari zake kwa wengine kutazama. [455]
http://www.wotw.org.uk/

National Grid for terning (NGFL)
NGFL inatoa mtandao wa tovuti zilizochaguliwa ambazo zinatoa habari za ubora wa hali ya juu. Ikiwa unajifunza, unasaidia, kufundisha au kuongoza kuna vyanzo kwa ajili yako katika NGFL. Program Nonio Century XXI imeanzishwa baada ya mashindano ya taifa ya kisiasa kuhamasisha elimu ya kimtandao. [454]
http://www.ngfl.gov.uk/

Swedish SchoolNet:
Swedish SchoolNet inasimamiwa na wakala wa Taifa wa Elimu, chini ya uteuzi wa serikali wa Aprili ‘94, ambao uliangaliwa upya Juni ’96. Ni tovuti kwa walimu, wakufunzi na wanafunzi. Lengo katika mwaka 94 lilikuwa mpaka kufika sasa kuhamasisha matumizi ya teknolojia ya habari katika mashule. [453]
http://www.skolutveckling.se

SchoolNet Japan
SchoolNet Japan ni asasi ya wakufunzi wenye nia ya kuendeleza na kutumia mtandao wa Internet katika shule za msingi na sekondari. [451]
http://www.schoolnet.or.jp/schoolnet/index-e.html

Nordic School Data Network: Odin
"Nordic School" limekuwa gazeti la kimtandao, likitolewa katika lugha tatu tofauti. [450]
http://www.nordskol.org/english/

II2020 Programme and ScoilNet:
ScoilNet imeendelezwa na kutekelezwa kupitia ushirikiano kati ya Idara ya elimu na sayansi ikiongozwa na kituo cha Taifa cha Teknolojia katika elimu (NCTE). [449]
http://www.scoilnet.ie/

European SchoolNet
Ni ushirikiano wa kipekee wa kimataifa wa wizara 23 za elimu za ulaya unaoendeleza mafunzo kwa shule, walimu na wanafunzi katika ulaya. Tunatoa mwongozo kwenye matumizi ya ICT (Information and Communication Technology) katika ulaya kwa waandaji wa sera na wataalamu wa elimu. [448]
http://www.eun.org


1 2