Feedback Sitemap Send page Print Help
HIV/AIDS
Makala

Elimu ya msingi mashariki na kusini mwa Afrika - 2020 Jul 02
Nakala hii inatafiti na kijamii katika njia ya uzuiaji ambazo zinatoa ahadi ya ongezeko la upatikanaji wa elimu ya msingi kwa watoto ambao wamekuwa yatima au wameathirika kwa kukaa katika maeneo yaliyoathirika zaidi kwa AIDS mashariki na kusini mwa Afrika.

Kuzuia AIDS: Katika mashule - 2020 Jun 30
Lengo la IAE ni kuangalia ubora wa kimasomo katika nyanja zote za elimu. Kueleza mwisho huu, shule inatoa tathmini ya ushahidi unaotokana na utafiti wa umuhimu kimataifa. Shule pia inatoa vyanzo vya utafiti, ushahidi wake na utekelezaji wake wa sera.

Nyenzo

Kenya AIDS Intervantion/Prevention Project Group
KAIPPG ni asasi kamili ya huduma za AIDS, ikiwa na makazi yake Kenya na tawi la kimataifa Marekani. Mipango yake iko kuanzia huduma zilizo nyumbani kwa PWAS mpaka mpango wa lishe kwa lishe bora ya jamii, na kutoka katika elimu ya AIDS. [494]
http://www.kaippg.org

Mazungumzo ya ana kwa ana
Straight Talk Foundation inalenga, kupitia miradi yake ya mawasiliano, kuongeza uelewa wa balehe, mapenzi na afya ya uzazi na kuinua kukubalika kwa ufanyaji ngono salama. [493]
http://www.straight-talk.or.ug/sthm/index.html

Future groups
Future Croups inatoa msaada wa kiufundi kimataifa katika utafiti ambao unaboresha sera na mipango inayoelezea Afya ya jamii, Habari za idadi ya watu, afya ya uzazi na mpango wa familia, HIV/AIDS na magonjwa ya zinaa, uzazi salama, uondoaji umaskini, elimu na mazingira. [492]
http://www.futuresgroup.com

CADRE
CADRE ni asasi isiyojiendesha kwa faida ya Afrika kusini inayofanya kazi katikka utafiti wa HIV/AIDS na kuendeleza miradi na mawasiliano. Kati ya majarida yake na ripoti ya utafiti mojawapo ni African Journal of AIDS Reseach. [491]
http://www.cadre.org.za/

ANNEA
Lengo la ANNEA ni kujenga umoja kati ya asasi zinazojihusisha na AIDS katika Afrika mashariki, Kuimarisha na kusaidia katika kuongeza kasi ya kuzuia HIV/AIDS, kuboresha huduma ya watu wanaoishi na HIV AIDS na kupunguza madhara. [490]
http://www.annea.or.tz/

Elimu na HIV/AIDS : Kitabu cha uzuiaji wa HIV/AIDS
Kitabu hiki nakala zenye maelezo ya mpango wa uzuiaji wa HIV kwa watoto wenye umri wa kwenda shule katika nchi saba za kiafrika, Msumbiji, Senegal, Afrika kusini, Tanzania,Uganda , Zambia na Zimbabwe. Aina za mipango inahusisha shule za msingi, matumizi ya vyombo vya habari, jumuiya na mipango ya waelimishaji rika na utikiaji wa watoto wa mitaani. [489]
http://www.africapulse.org/index.php?action=viewarticle&articleid;=2020

Elimu ya AIDS katika Afrika
Sehemu hi inatoa mtizamo sahihi wa mfumko wa AiDS katika Afrika na meelezo ya jinsi World Education inavyopambana na gonjwa hili kwa kuendesha eleimu sahihi, mafunzo na jitihada za kuhamasisha jamii kwa kushirikiana na taasisi washirika. [488]
http://www.worlded.org/africa/aids/index.htm

ACF
ACF – ni asasi isiyo ya serikali, ya kujitegemea, ya wenyeji, isiyo ya kisiasa yenye lengo la kutoa elimu kwa yaatima maskini ambao wazazi wao wamekufa kwa HIV/AIDS – na kusaidia familia zao kukabili umaskini na kukata tamaa katika Uganda, kupitia kuwasadia kuanzisha miradi endelevu ya kuwaletea kipato. [486]
http://groups.msn.com/africanchildfoundation/africanchildfounationhomepage.msnw


1 2