Feedback Sitemap Send page Print Help
Watu wenye ulemavu

Makala

Curriculum and Instruction Key strategies to promote Equity and Excellence: - 2020 Jun 30
Miundo mbinu ya kuinua usawana ubora “inajibu maswali yam sing kama ni vipi mtaala na maelezo yataundwa ili kwamba wanafunzi wote waweze kufikia viwango vya juu? Na ni nafasi gani wazazi wanaweza kuchukua ili k uinua mitaa na maelezo ambayo yatasaidia kwenye usawa na ubora sio tuu kwa mtoto wao bali pia kwa shule nzima.

Nyenzo

Sehemu ya elimu yenye habari na vyanzo kwa wenye matatizo (UIemavu)
Taasisi nyingi za kufunza zina mkusanyiko wa habari zinazohusu watu wenye ulemavu. Kwenye tovuti hii utapata orodha ya tovuti nyingine iliyopangwa kwa herufi kutokana na jina la tovuti. [503]
http://www.icdri.org/Education/educational_sites_with_disabilit.htm