Feedback Sitemap Send page Print Help
Vijana walio nje ya shule

SchoolNet Afrika inaamini kwamba ICTs ni nyenzo ya kuchocheo nafasi za elimu kwa vijana wa kiafrika na ina nafasi kubwa ya kufikia malengo ya elimu kwa wote.Kuna vikwazo vingi vinavyowapata vijana walio nje ya shule ukubwa na asili ya vikwazo vinatofautiana kwa kila mtu mmojammoja. Katika kipengele hiki utapata muungano wa shughuli nyingine kwa ajili ya vijana ambazo hawapo kwenye mfumo wa shule lakini wanatumia nyenzo nyingine kuboresha elimu zao.