Feedback Sitemap Send page Print Help
Disclaimer

Masomo yanayotolewa kwenye tovuti hii yanatolewa kama yalivyo bila uhakiki wa aina yoyote. SchoolNet Africa huongeza, kuvadili na kkuboresha masomo kwenye tovuti hii mara kwa mara bila taarifa na pia haitoi uthibitisho kwenye usahihi na ukamilifu kwenye tovuti hii.

Muungano wa tovuti zingine haumaanishi  wamba tunawajibika au kuthibitisha habari zilizok kwenye tovuti hizo nyingine kama sehemu ya SchoolNet Africa. Kwenye mazingira yoyote SchoolNet Africa haitawajjibika kwa upotevu wowote, gharama zilizotumika au zilizopotea ambazo zitadaiwa kutokana na matumizi ya tovuti hii, ikijumuisha makosa, matatizo, mwingiliano au kucheleweshwa kwa namna yoyoe.