Feedback Sitemap Send page Print Help
Namna ya kutumia tovuti hii

Ingawa tovuti ya AEKW inaonkana ni sahihi sana, inajuisha baashi ya mambo kwa mtumiaji.

1.      SEARCH BOX: “search box” ipo upande wa  juu kushoto na inakuruhusu kutafuta tovuti. Ingiza maneno ya munimu na bonyeza “CENTER” au bonyeza kitufe cha kijani.

2.      LANGUAGE MENU “Language Menu” iliyo upande wa juu kulia inakuruhusu kuangalia tovuti katika lugha tano zilizokubaliwa na muungano wa Afrika. Kubonyeza kwenye lugha yako itakupeleka kwenye ukurasa wakwanza walugha yako.

3.      SECTION MENU: “Section Menu” iliyo chini ya “seach boxi” inamruhusu mtumiaji kuchagua  kipengele ambacho inamfaa zaidi. Kwa mfano, wataalamu wa SchoolNet wanatakiwa kuchagua “SchoolNet Centre” na watumizi wa sera kuchagua “Policy Centre” . kutokana na mtizamo huu bora kwenye AEKW katika kila nyanja utatambua baadhi ya vyanzo na makala yanayoweza kutolewa katika kila kipengele katika kesi hizi, makala na vyanzo ni muhimu katika kila kipengele

4.      PATH MENU: “path Menu” iliyo chini ya kipengele cha “menu” inakuonyesah mahali ulipo kwenye uhusiano na tovuti yote. Mfano ukurasa huu uko kwenye ipengele cha SchoolNet Africa, hivyo kinaonekana kama “SchoolNet Africa> Namna ya kutumia tovuti hii”,

5.      ACTION BUTTONS: “Action Butoons” ni kikundi  cha vitufe vilivyo pembeni ya “path menu” kwenye kipengele cha “Language Menu”. Peleka  mausi ya kompyuta kwenye  kila kitufe ili kuona kazi zake.

·        Ongea nazi – Tutumie habari kupitia fomu za barua pepe.

·        Site map – Inaonyesaha mpangilio wakkurasa zote zilizo kwenye AEKW.

·        Refer this page to A friend – Tuma kurasa za tovoti hii kwa rafiki.

·        Prin – chapisha ukurasa huu.

·        How to use this website – ukurasa huu.

 

6: SIDE MENU: “Side menu” ipo pembeni ya ukurasa wa yaliyomo na unajumuisha orodha ya kurasa za vipengele vyote. Kumbuka kwamba ukurasa a yaliyomona sasa hivi unaandikwa a wino mzito.

7: MASHARTI YA MATUMIZI: Masharti ya matumizi yapo chini ya kila ukurasa.