Feedback Sitemap Send page Print Help
Kuangalia kwenye njia mpya za ICT

Nyenzo

Ufundishaji kwa satelaiti kwa shule za Ethiopia
Mpango wa ufundishaji kwa satelaiti ambao unalenga kwenye masomo zaidi ya elfu kwenye kiingereza, hesabu na sayansi kwa shule za elimu ya juu, utaanzishwa nchini Ethiopia mapema mwaka kesho. [671]
http://www.irinnews.org/report.asp?ReportID=32488&SelectRegion;=Horn_of_Africa&Se...;

Shule za Afrika Kusini kupata kompyuta zinazobebeka na zisizotumia nyaya
Shule za Afrika Kusini kupata kompyuta zinazobebeka zisitotumia nyaya: karibu shule 2500 zilizopo Gauteng, Afrika Kusini zitapata kutumia kompyuta zinazobebeka na zisizotumia waya kwenye mpango wa pamoja wa ujifunzaji kupitia mtandao wa kompyuta utakaoanzishwa na IBM na Cisco Systems. [669]
http://allafrica.com/stories/202020202020.html

Msaada wa huduma ya afya usiotumia nyaya Uganda
Ingawa Uganda ina vituo vingi vya afya vinavyofanya kazi, haina mfumo wa uongozi ambao umechukuliwa kama wa kudumu na nchi nyingine zinazoendelea. Satelite inatumaini kwamba kuwa na mtandao usiotumia nyaya ingeweza kuwa hatua ya kwanza katika kuondoa hilo. [668]
http://www.wired.com/news/wireless/0,2020,58296,00.html

Hospitali ya watoto ya Tygerberg na mradi wa "Rotary Telemedicine"
Hospitali ya watoto ya Tygerberg na mradi wa "Rotary Telemedicine" katika Afrika ya Kusini inawaunganisha wataalam kutoka Tygerberg na madaktari kwenye mikoa na wilaya ili kuboresha huduma za afya kwenye maeneo ya vijijini. Mpango huu umeanzisha mfumo wake wenyewe wa "Telemedicine" ukitumia vifaa vya kompyuta ambavyo ni rahisi zaidi kuliko mfumo wa kibiashara wa "Telemedicine". [667]
http://www.bridges.org/iicd_casestudies/Tygerberg_telemedicine/index.html

Kijitabu cha watu cha HP kuendesha Linox
HP inauza kwa bei nafuu “people’s notebook” inayojiendesha kwa mfumo wa linux, inaaminika ni kwa mara ya kwanza mabingwa wa IT kuuza kompyuta kwa matumizi ya watu zikiwa tayari zina vifaa vya kufanyia kazi. [666]
http://news.zdnet.co.uk/story/0,,t269-s2134514,00.html